ٱلَّذِي خَلَقَنِي فَهُوَ يَهۡدِينِ ٧٨
Ash-Shu'ara' 26:78
سورة الشعراء
Makka
Aya: 78/227
Ukurasa 370
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ambaye ndiye aliye niumba, na Yeye ndiye ananiongoa, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Yeye Ndiye Aliyeniumba kwa sura nzuri zaidi. Yeye ananiongoza kwenye maslahi ya dunia na Akhera.
Ash-Shu'ara' 26:78
Inapakia kisomo…
0:00