وَيَعۡلَمَ ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مَا لَهُم مِّن مَّحِيصࣲ ٣٥
Ash-Shura 42:35
سورة الشورى
Makka
Aya: 35/53
Ukurasa 487
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na ili wajue wanao jadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahala pa kukimbilia. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na wajue wale wanaojadili kuhusu aya zetu zenye kutolea dalili upweke wetu kwa njia ya ubatilifu, hawatakuwa na mahali pa kupita wala pa kuhamia kujiepusha na mateso ya Mwenyezi Mungu Atakapowatesa kwa dhambi zao na ukanushaji wao.
Ash-Shura 42:35
Inapakia kisomo…
0:00