At-Takwir 81:17

سورة التكوير

Makka Aya: 17/29 Ukurasa 586

وَٱلَّيۡلِ إِذَا عَسۡعَسَ ١٧

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na kwa usiku unapo pungua,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na Anaapa kwa usiku unapojitokeza na giza lake.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu