At-Tariq 86:11

سورة الطارق

Makka Aya: 11/17 Ukurasa 591

وَٱلسَّمَآءِ ذَاتِ ٱلرَّجۡعِ ١١

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Naapa kwa mbingu yenye marejeo!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na Anaapa kwa mbingu yenye mvua ya kukaririka.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu