فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَٰنُ مِمَّ خُلِقَ ٥
At-Tariq 86:5
سورة الطارق
Makka
Aya: 5/17
Ukurasa 591
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi aangalie binadamu mwenye kukanusha kufufuliwa ameumbwa kwa kitu gani? Ili ajue kuwa kurudisha umbo lake mara ya pili si vigumu kama kuumbwa mara ya kwanza.
At-Tariq 86:5
Inapakia kisomo…
0:00