فَلَمَّآ ءَاتَىٰهُم مِّن فَضۡلِهِۦ بَخِلُواْ بِهِۦ وَتَوَلَّواْ وَّهُم مُّعۡرِضُونَ ٧٦
At-Taubah 9:76
سورة التوبة
Madina
Aya: 76/129
Ukurasa 199
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Alipo wapa katika fadhila yake wakaifanyia ubakhili na wakageuka, na huku wakipuuza. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Alipowapa Mwenyezi Mungu kutokana na hisani yake, walifanya ubakhili kutoa sadaka na kutumia mali katika wema, na waligeuka nyuma hali ya kuupa mgongo Uislamu.
At-Taubah 9:76
Inapakia kisomo…
0:00