يَوۡمَ يُدَعُّونَ إِلَىٰ نَارِ جَهَنَّمَ دَعًّا ١٣
At-Tur 52:13
سورة الطور
Makka
Aya: 13/49
Ukurasa 523
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Siku watapo sukumwa kwenye Moto kwa msukumo wa nguvu, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Siku ya kusukumwa hawa wakanushaji msukumo wa nguvu wenye kuwadhalilisha hadi kwenye Moto wa Jahanamu.
At-Tur 52:13
Inapakia kisomo…
0:00