كُلُواْ وَٱشۡرَبُواْ هَنِيٓـَٔۢا بِمَا كُنتُمۡ تَعۡمَلُونَ ١٩
At-Tur 52:19
سورة الطور
Makka
Aya: 19/49
Ukurasa 524
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kuleni na kunyweni kwa raha kabisa kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyatenda. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kuleni chakula kwa furaha, na mnywe kinywaji chenye ladha, yakiwa ni malipo ya matendo mema mliyoyafanya duniani
At-Tur 52:19
Inapakia kisomo…
0:00