At-Tur 52:4

سورة الطور

Makka Aya: 4/49 Ukurasa 523

وَٱلۡبَيۡتِ ٱلۡمَعۡمُورِ ٤

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na kwa Nyumba iliyo jengwa,
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na kwa Nyumba Iliyoamirishwa kwa Malaika watukufu wenye kuizunguka daima.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu