أَمۡ يُرِيدُونَ كَيۡدࣰاۖ فَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ هُمُ ٱلۡمَكِيدُونَ ٤٢
At-Tur 52:42
سورة الطور
Makka
Aya: 42/49
Ukurasa 525
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao walio kufuru ndio watakao tegeka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Bali wao wanataka kumfanyia vitimbi Mtume wa Mwenyezi Mungu na Waumini. Basi hao makafiri, vitimbi vyao na njama zao vitawarudia wao wenyewe.
At-Tur 52:42
Inapakia kisomo…
0:00