أَمۡ ءَاتَيۡنَٰهُمۡ كِتَٰبࣰا مِّن قَبۡلِهِۦ فَهُم بِهِۦ مُسۡتَمۡسِكُونَ ٢١
Az-Zukhruf 43:21
سورة الزخرف
Makka
Aya: 21/89
Ukurasa 490
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kwani tuliwapa Kitabu kabla ya hichi, na ikawa wao wanakishikilia hicho? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Je, walishuhudia uumbaji wa Malaika au tuliwapatia kitabu kabla ya hii Qur’ani tuliyoiteremsha, wakawa wameshikamana nacho, wakifanyia kazi na wanajijengea kwa hicho hoja za kukupinga, ewe Mtume?
Az-Zukhruf 43:21
Inapakia kisomo…
0:00