فَلَمَّا جَآءَهُم بِـَٔايَٰتِنَآ إِذَا هُم مِّنۡهَا يَضۡحَكُونَ ٤٧
Az-Zukhruf 43:47
سورة الزخرف
Makka
Aya: 47/89
Ukurasa 492
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini alipo wajia na Ishara zetu wakaingia kuzicheka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na alipowajia na dalili zilizo wazi zenye kuonyesha ukweli wake katika ulinganizi wake, hapo Fir’awn na viongozi wa utawala wake wakawa wanazicheka zile hoja na mazingatio alivyokuja navyo Mūsā.
Az-Zukhruf 43:47
Inapakia kisomo…
0:00