فَلَمَّا كَشَفۡنَا عَنۡهُمُ ٱلۡعَذَابَ إِذَا هُمۡ يَنكُثُونَ ٥٠
Az-Zukhruf 43:50
سورة الزخرف
Makka
Aya: 50/89
Ukurasa 493
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi tulipo waondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi Mūsā alipoomba adhabu iondolewe kwao na tukawaondolea hiyo adhabu, ghafla wanavunja ahadi na wanaendelea kwenye upotevu wao.
Az-Zukhruf 43:50
Inapakia kisomo…
0:00