وَلَوۡ نَشَآءُ لَجَعَلۡنَا مِنكُم مَّلَٰٓئِكَةࣰ فِي ٱلۡأَرۡضِ يَخۡلُفُونَ ٦٠
Az-Zukhruf 43:60
سورة الزخرف
Makka
Aya: 60/89
Ukurasa 493
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tungeli penda tungeli wafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na lau tungakiataka tungaliwajaalia badala yenu Malaika , hawa baada ya wengine, badala ya wanadamu.
Az-Zukhruf 43:60
Inapakia kisomo…
0:00