فَإِن يَصۡبِرُواْ فَٱلنَّارُ مَثۡوࣰى لَّهُمۡۖ وَإِن يَسۡتَعۡتِبُواْ فَمَا هُم مِّنَ ٱلۡمُعۡتَبِينَ ٢٤
Fussilat 41:24
سورة فصلت
Makka
Aya: 24/54
Ukurasa 479
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi wakisubiri Moto ndio maskani yao. Na wakiomba radhi hawakubaliwi. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wakivumilia adhabu, basi Moto ndio makazi yao, na wakiomba kurejea duniani waanze kufanya amali njema huko, hawatajibiwa ombi hilo wala hazitakubaliwa nyudhuru zao.
Fussilat 41:24
Inapakia kisomo…
0:00