نُزُلࣰا مِّنۡ غَفُورࣲ رَّحِيمࣲ ٣٢
Fussilat 41:32
سورة فصلت
Makka
Aya: 32/54
Ukurasa 480
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ni takrima itokayo kwa Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
mkiandaliwa na kuneemeshwa kutoka kwa Mwingi wa kusamehe dhambi zenu, Mwingi wa huruma kwenu.»
Fussilat 41:32
Inapakia kisomo…
0:00