وَمَا يُلَقَّىٰهَآ إِلَّا ٱلَّذِينَ صَبَرُواْ وَمَا يُلَقَّىٰهَآ إِلَّا ذُو حَظٍّ عَظِيمࣲ ٣٥
Fussilat 41:35
سورة فصلت
Makka
Aya: 35/54
Ukurasa 480
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Lakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala hawapewi ila wenye bahati kubwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hawaafikiwi kwenye mambo haya yanayosifika vyema isipokuwa wale wanaojisubirisha juu ya mambo ambayo nafsi zao zinayachukia na wakajilazimisha kwa yale Anayoyapenda Mwenyezi Mungu. Na haafikiwi hayo isipokuwa mwenye fungu kubwa la hali njema ya duniani na Akhera.
Fussilat 41:35
Inapakia kisomo…
0:00