Ghafir 40:36

سورة غافر

Makka Aya: 36/85 Ukurasa 471

وَقَالَ فِرۡعَوۡنُ يَٰهَٰمَٰنُ ٱبۡنِ لِي صَرۡحࣰا لَّعَلِّيٓ أَبۡلُغُ ٱلۡأَسۡبَٰبَ ٣٦

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na Firauni akasema: Ewe Hamana! Nijengee mnara ili nipate kuzifikia njia,

Soma sura nzima Linganisha tafsiri Tafsiri ya Kiarabu