ٱلَّذِينَ كَذَّبُواْ بِٱلۡكِتَٰبِ وَبِمَآ أَرۡسَلۡنَا بِهِۦ رُسُلَنَاۖ فَسَوۡفَ يَعۡلَمُونَ ٧٠
Ghafir 40:70
سورة غافر
Makka
Aya: 70/85
Ukurasa 475
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ambao wamekanusha Kitabu na yale tuliyo watuma Mitume wetu. Basi watakuja jua. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Washirikina hawa waliokanusha Qur’ani na Vitabu vya mbinguni Alivyoviteremsha Mwenyezi Mungu kwa Mitume Wake ili kuongoza watu, watajua wakanushaji hawa mwisho wa ukanushaji wao.
Ghafir 40:70
Inapakia kisomo…
0:00