وَمَا نُؤَخِّرُهُۥٓ إِلَّا لِأَجَلࣲ مَّعۡدُودࣲ ١٠٤
Hood 11:104
سورة هود
Makka
Aya: 104/123
Ukurasa 233
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na Sisi hatuiakhirishi ila kwa muda unao hisabiwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hatuicheleweshi Siku ya Kiyama isipokuwa ni ukome muda uliyohesabiwa uliyo kwenye elimu yetu, hauzidi wala haupungui na kipimo chetu tulichoupimia kwa hekima yetu.
Hood 11:104
Inapakia kisomo…
0:00