وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَا مُوسَىٰ بِـَٔايَٰتِنَا وَسُلۡطَٰنࣲ مُّبِينٍ ٩٦
Hood 11:96
سورة هود
Makka
Aya: 96/123
Ukurasa 232
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na hakika tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hakika tulimtuma Mūsā na dalili zetu za upweke wetu na hoja inayomfahamisha mwenye kuiona na kuitia akilini, kwa moyo wenye siha, kwamba zinatoa dalili ya upweke wa Mwenyezi Mungu na urongo wa kila anayedai uola asiyekuwa Yeye, Aliyetakata na sifa za upungufu na kutukuka.
Hood 11:96
Inapakia kisomo…
0:00