نُمَتِّعُهُمۡ قَلِيلࣰا ثُمَّ نَضۡطَرُّهُمۡ إِلَىٰ عَذَابٍ غَلِيظࣲ ٢٤
Luqman 31:24
سورة لقمان
Makka
Aya: 24/34
Ukurasa 413
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Tunawastarehesha kwa uchache, kisha tutawasukuma kwenye adhabu ngumu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Tutawastarehesha wao kwenye ulimwengu huu wenye kutoweka kwa muda mchache, kisha Siku ya Kiyama tutawawapeleka kwa nguvu na kuwaongoza kwenye adhabu yenye kitisho, nayo ni adhabu ya Jahanamu.
Luqman 31:24
Inapakia kisomo…
0:00