وَبَرَّۢا بِوَٰلِدَتِي وَلَمۡ يَجۡعَلۡنِي جَبَّارࣰا شَقِيࣰّا ٣٢
Maryam 19:32
سورة مريم
Makka
Aya: 32/98
Ukurasa 307
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Na Amenifanya mimi niwe mwenye kumtendea wema mamangu, na hakunifanya ni mwenye kujiona wala ni mbaya mwenye kumuasi Mola wangu.
Maryam 19:32
Inapakia kisomo…
0:00