وَٱذۡكُرۡ فِي ٱلۡكِتَٰبِ إِبۡرَٰهِيمَۚ إِنَّهُۥ كَانَ صِدِّيقࣰا نَّبِيًّا ٤١
Maryam 19:41
سورة مريم
Makka
Aya: 41/98
Ukurasa 308
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na mtaje katika Kitabu Ibrahim. Hakika yeye alikuwa mkweli, Nabii. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na uwatajie, ewe Mtume, watu wako katika hii Qur’ani kisa cha Ibrahīm, amani imshukiye; kwa hakika yeye alikuwa ni mkweli mkubwa na ni miongoni mwa Manabii wa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, wenye daraja za juu.
Maryam 19:41
Inapakia kisomo…
0:00