وَٱذۡكُرۡ فِي ٱلۡكِتَٰبِ إِدۡرِيسَۚ إِنَّهُۥ كَانَ صِدِّيقࣰا نَّبِيࣰّا ٥٦
Maryam 19:56
سورة مريم
Makka
Aya: 56/98
Ukurasa 309
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na mtaje katika Kitabu Idris. Hakika yeye alikuwa ni mkweli Nabii. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na utaje, ewe Mtume, katika hii Qur’ani habari ya Idris, amani imshukiye. Yeye alikuwa ni mkweli mkubwa katika maneno yake na vitendo vyake, ni Nabii aaliyeletewa wahyi.
Maryam 19:56
Inapakia kisomo…
0:00