وَٱتَّخَذُواْ مِن دُونِ ٱللَّهِ ءَالِهَةࣰ لِّيَكُونُواْ لَهُمۡ عِزࣰّا ٨١
Maryam 19:81
سورة مريم
Makka
Aya: 81/98
Ukurasa 311
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wamechukua miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati iwape nguvu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na washirikina wamewachukua waungu wanaowaabudu badala ya Mwenyezi Mungu ili wawatetee na wajipatie nguvu kwao.
Maryam 19:81
Inapakia kisomo…
0:00