Maryam 19:89

سورة مريم

Makka Aya: 89/98 Ukurasa 311

لَّقَدۡ جِئۡتُمۡ شَيۡـًٔا إِدࣰّا ٨٩

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Hakika mmeleta jambo la kuchusha mno!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Kwa hakika mumeleta, enyi hao wenye kusema, kwa kusema neno hili, jambo kubwa lililo baya.

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu