فَكَيۡفَ إِذَا تَوَفَّتۡهُمُ ٱلۡمَلَٰٓئِكَةُ يَضۡرِبُونَ وُجُوهَهُمۡ وَأَدۡبَٰرَهُمۡ ٢٧
Muhammad 47:27
سورة محمد
Madina
Aya: 27/38
Ukurasa 509
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Basi itakuwaje Malaika watakapo wafisha wakawa wanawapiga nyuso zao na migongo yao! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Basi itakuwa vipi hali yao watakapozikamata Malaika roho zao na huku wanawapiga nyuso zao na migongo yao?
Muhammad 47:27
Inapakia kisomo…
0:00