أَءِذَا مِتۡنَا وَكُنَّا تُرَابࣰاۖ ذَٰلِكَ رَجۡعُۢ بَعِيدࣱ ٣
Qaf 50:3
سورة ق
Makka
Aya: 3/45
Ukurasa 518
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ati tukifa na tukawa udongo...? Kurejea huko kuko mbali! -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Je, tunapokufa na tukawa mchanga, itawezekana vipi kurejea baada ya hapo tukawa kama tulivyokuwa? Hayo ni marajeo ambayo kutukia kwake kuko mbali.»
Qaf 50:3
Inapakia kisomo…
0:00