وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا ٱلۡوَعۡدُ إِن كُنتُمۡ صَٰدِقِينَ ٢٩
Saba' 34:29
سورة سبأ
Makka
Aya: 29/54
Ukurasa 431
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wanasema: Ahadi hii itakuwa lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na hawa washirikina wanasema kwa njia ya shere, «Ni lini wakati wa Ahadi hii ambayo unatuahidi kuwa Mwenyezi Mungu Atatukusanya ndani yake kisha Ahukumu baina yetu, iwapo nyinyi ni wakweli katika kile mlichotuahidi kwacho?»
Saba' 34:29
Inapakia kisomo…
0:00