وَقَالُواْ نَحۡنُ أَكۡثَرُ أَمۡوَٰلࣰا وَأَوۡلَٰدࣰا وَمَا نَحۡنُ بِمُعَذَّبِينَ ٣٥
Saba' 34:35
سورة سبأ
Makka
Aya: 35/54
Ukurasa 432
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wakasema: Sisi tuna mali mengi zaidi na watoto, wala sisi hatutaadhibiwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na wanasema, «Sisi ni wengi zaidi wa mali na watoto, na Mwenyezi Mungu hakutupa neema hizi isipokuwa ni kuwa anaridhika na sisi, na sisi si wenye kuadhibiwa duniani wala Akhera.»
Saba' 34:35
Inapakia kisomo…
0:00