لِّيَجۡزِيَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِۚ أُوْلَٰٓئِكَ لَهُم مَّغۡفِرَةࣱ وَرِزۡقࣱ كَرِيمࣱ ٤
Saba' 34:4
سورة سبأ
Makka
Aya: 4/54
Ukurasa 428
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ili awalipe walio amini na wakatenda mema. Hao watapata msamaha na riziki ya ukarimu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ili Awalipe mema wale waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakamfuata Mtume Wake na wakafanya matendo mema, hao watakuwa na msamaha wa dhambi zao na riziki njema, nayo ni Pepo.»
Saba' 34:4
Inapakia kisomo…
0:00