جُندࣱ مَّا هُنَالِكَ مَهۡزُومࣱ مِّنَ ٱلۡأَحۡزَابِ ١١
Sad 38:11
سورة ص
Makka
Aya: 11/88
Ukurasa 453
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hao ni askari watao shindwa miongoni mwa makundi yatayo shindwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Askari hawa wanaokanusha ni askari wenye kushindwa, kama walivyoshindwa wengineo miongoni mwa mapote ya watu waliokuwa kabla yao.
Sad 38:11
Inapakia kisomo…
0:00