هَٰذَا عَطَآؤُنَا فَٱمۡنُنۡ أَوۡ أَمۡسِكۡ بِغَيۡرِ حِسَابࣲ ٣٩
Sad 38:39
سورة ص
Makka
Aya: 39/88
Ukurasa 455
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hichi ndicho kipawa chetu. Basi toa au zuia, bila ya hisabu. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Ufalme huu mkubwa na udhalilishiaji huu wa kipekee ni upaji wetu kwako, ewe Sulaymān, basi mpe unayemtaka na umnyime unayemtaka, hapana hesabu juu yako.
Sad 38:39
Inapakia kisomo…
0:00