مُتَّكِـِٔينَ فِيهَا يَدۡعُونَ فِيهَا بِفَٰكِهَةࣲ كَثِيرَةࣲ وَشَرَابࣲ ٥١
Sad 38:51
سورة ص
Makka
Aya: 51/88
Ukurasa 456
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Humo wataegemea matakia, wawe wanaagiza humo matunda mengi na vinywaji. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
watakuwa ni wenye kutegemea kwenye Pepo hizo juu ya viti vya fahari vilivyopambwa, watataka na kupatiwa kila wanachokitamani miongoni mwa aina nyingi za matunda na vinywaji, kutokana na kila ambacho nafsi zao zitakitamani na macho yao yatapendezwa nacho.
Sad 38:51
Inapakia kisomo…
0:00