هَٰذَاۚ وَإِنَّ لِلطَّٰغِينَ لَشَرَّ مَـَٔابࣲ ٥٥
Sad 38:55
سورة ص
Makka
Aya: 55/88
Ukurasa 456
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Ndio hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa; -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Hayo, yaliyotangulia kutajwa sifa zake, ni ya wachamungu. Ama wale wenye kuruka mpaka na kuingia ukafirini na maasi, wao watakuwa na marejeo maovu kabisa na mwisho mbaya sana,
Sad 38:55
Inapakia kisomo…
0:00