إِلَّآ إِبۡلِيسَ ٱسۡتَكۡبَرَ وَكَانَ مِنَ ٱلۡكَٰفِرِينَ ٧٤
Sad 38:74
سورة ص
Makka
Aya: 74/88
Ukurasa 457
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Isipo kuwa Iblisi; alijivuna na akawa katika makafiri. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
isipokuwa Iblisi Yeye hakusujudu kwa ujeuri na kiburi, na alikuwa, katika ujuzi wa Mwenyezi Mungu Aliyetukuka, ni miongoni mwa makafiri.
Sad 38:74
Inapakia kisomo…
0:00