قَالَ فَبِعِزَّتِكَ لَأُغۡوِيَنَّهُمۡ أَجۡمَعِينَ ٨٢
Sad 38:82
سورة ص
Makka
Aya: 82/88
Ukurasa 457
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Akasema (Iblisi): Naapa kwa utukufu wako, bila ya shaka nitawapoteza wote, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Iblisi akasema, «Naapa kwa enzi yako, ewe Mola wangu, na utukufu wako! Nitawapoteza binadamu wote,
Sad 38:82
Inapakia kisomo…
0:00