مَّنۡ أَعۡرَضَ عَنۡهُ فَإِنَّهُۥ يَحۡمِلُ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ وِزۡرًا ١٠٠
TaHa 20:100
سورة طه
Makka
Aya: 100/135
Ukurasa 319
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Atakaye jitenga nayo, basi kwa yakini Siku ya Kiyama atabeba mzigo. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mwenye kuipa mgongo hii Qur’ani, asiiamini na asiitumie, atakuja Siku ya Kiyama akiwa amebeba dhambi kubwa.
TaHa 20:100
Inapakia kisomo…
0:00