ثُمَّ ٱجۡتَبَٰهُ رَبُّهُۥ فَتَابَ عَلَيۡهِ وَهَدَىٰ ١٢٢
TaHa 20:122
سورة طه
Makka
Aya: 122/135
Ukurasa 320
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Kisha Mola wake Mlezi akamteuwa, naye akamkubalia toba yake, naye akamwongoa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Kisha Mwenyezi Mungu Akamteua Ādam, Akamkaribisha, Akaikubali toba yake na Akamuongoza njia njema ya kuifuata.
TaHa 20:122
Inapakia kisomo…
0:00