قَالَ رَبِّ ٱشۡرَحۡ لِي صَدۡرِي ٢٥
TaHa 20:25
سورة طه
Makka
Aya: 25/135
Ukurasa 313
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
(Musa) akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Nikunjulie kifua changu, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mūsā akasema, «Ewe Mola wangu! Nikunjulie kifua changu,
TaHa 20:25
Inapakia kisomo…
0:00