ٱذۡهَبَآ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ ٤٣
TaHa 20:43
سورة طه
Makka
Aya: 43/135
Ukurasa 314
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Nendeni kwa Firauni. Hakika yeye amepindukia mipaka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Endeni, mkiwa pamoja, kwa Fir'awn, kwa kuwa yeye amekiuka mipaka katika ukafiri na udhalimu,
TaHa 20:43
Inapakia kisomo…
0:00