۞ وَمَآ أَعۡجَلَكَ عَن قَوۡمِكَ يَٰمُوسَىٰ ٨٣
TaHa 20:83
سورة طه
Makka
Aya: 83/135
Ukurasa 317
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na nini kilicho kutia haraka ukawaacha watu wako, ewe Musa? -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na ni kitu gani kilichokuharakisha, ewe Mūsā, ukawatangulia watu wako kwenda upande wa kulia wa jabali la Tūr na ukawaacha nyuma yako?
TaHa 20:83
Inapakia kisomo…
0:00