قَالَ يَٰهَٰرُونُ مَا مَنَعَكَ إِذۡ رَأَيۡتَهُمۡ ضَلُّوٓاْ ٩٢
TaHa 20:92
سورة طه
Makka
Aya: 92/135
Ukurasa 318
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
(Musa) akasema: Ewe Harun! Ni nini kilicho kuzuia, ulipo waona wamepotea, -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Mūsā akasema kumwambia ndugu yake Hārūn, «Ni jambo gani lililokuzuia ulipowaona wamepotea na kuwa kando na Dini yao
TaHa 20:92
Inapakia kisomo…
0:00