وَٱضۡرِبۡ لَهُم مَّثَلًا أَصۡحَٰبَ ٱلۡقَرۡيَةِ إِذۡ جَآءَهَا ٱلۡمُرۡسَلُونَ ١٣
YaSin 36:13
سورة يس
Makka
Aya: 13/83
Ukurasa 441
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wapigie, ewe Mtume, washirikna wa watu wako wenye kukataa ulinganizi wako, mfano wa wao kuuzingatia nao ni hadithi ya watu wa kijiji walipoendewa na wajumbe.
YaSin 36:13
Inapakia kisomo…
0:00