ٱتَّبِعُواْ مَن لَّا يَسۡـَٔلُكُمۡ أَجۡرࣰا وَهُم مُّهۡتَدُونَ ٢١
YaSin 36:21
سورة يس
Makka
Aya: 21/83
Ukurasa 441
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Wafuateni ambao hawakutakini ujira, hali ya kuwa wenyewe wameongoka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Wafuateni wale wasiotaka mali kutoka kwenu kwa kufikisha Ujumbe na hali wao wako kwenye uongofu katika kile wanachowaitia cha kumuabudu Mwenyezi Mungu Peke Yake.» Katika hii kuna kueleza ubora wa mwenye kukimbilia kuamrisha mema na kukataza maovu.
YaSin 36:21
Inapakia kisomo…
0:00