وَخَلَقۡنَا لَهُم مِّن مِّثۡلِهِۦ مَا يَرۡكَبُونَ ٤٢
YaSin 36:42
سورة يس
Makka
Aya: 42/83
Ukurasa 443
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Na tukawaumbia hawa washirikina na wasiokuwa wao kama vile jahazi la Nūḥ, miongoni mwa majahazi na vipando vingine wanavyovipanda vikawapeleka kwenye nchi zao.
YaSin 36:42
Inapakia kisomo…
0:00