Ya­Sin 36:59

سورة يس

Makka Aya: 59/83 Ukurasa 444

وَٱمۡتَٰزُواْ ٱلۡيَوۡمَ أَيُّهَا ٱلۡمُجۡرِمُونَ ٥٩

  1. Ali Muhsin Al - Swahili translation


    Na enyi wakosefu! Jitengeni leo!
  2. Abdullah Muhammad & Nassir Khamis

    الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس

    Na wataambiwa makafiri Siku hiyo, «Jitengeni na Waumini na mjiepushe nao.»

Soma sura nzima Tafsiri ya Kiarabu