وَأَنِ ٱعۡبُدُونِيۚ هَٰذَا صِرَٰطࣱ مُّسۡتَقِيمࣱ ٦١
YaSin 36:61
سورة يس
Makka
Aya: 61/83
Ukurasa 444
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
«Na nikawaamrisha mniabudu mimi peke yangu, kwani kuniabudu mimi na kunitii na kumuasi Shetani ndiyo Dini iliyonyoka yenye kupelekea kupata radhi zangu na mabustani ya Pepo yangu.
YaSin 36:61
Inapakia kisomo…
0:00