لَا يَسۡتَطِيعُونَ نَصۡرَهُمۡ وَهُمۡ لَهُمۡ جُندࣱ مُّحۡضَرُونَ ٧٥
YaSin 36:75
سورة يس
Makka
Aya: 75/83
Ukurasa 445
-
Ali Muhsin Al - Swahili translation
Hawataweza kuwasaidia. Bali hao ndio watakuwa askari wao watakao hudhurishwa. -
Abdullah Muhammad & Nassir Khamis
الترجمة السواحلية - عبد الله محمد وناصر خميس
Waungu hao hawawezi kuwasaidia wenye kuwaabudu wala kujisaidia wao wenyewe. Na washirikina pamoja na waungu wao wote watahudhurishwa kwenye adhabu, wakiwa baadhi yao wanajitenga na wengine.
YaSin 36:75
Inapakia kisomo…
0:00